TWAALIBAATUL ILMU
Twaalibaatul Ilmu - Seera 13

Ni mwaka gani Mtume s.a.w alipelekwa safari ya Isra'a wal Mi'iraj?
Mwaka wa 11 baada ya kutumilizwa
Mwaka wa 11 Hijriya
Mwaka wa 10 baada ya kutumilizwa
Mwaka wa 10 Hijriya
Safari ya Isra'a ilikuwa:
Kutoka Masjid Haram mpaka Masjidul Aqsa
Kutoka Masjidul Haram mpaka mbinguni
Kutoka Masjidul Aqsa mpaka mbinguni
Kutoka Masjidul Aqsa mpaka Masjidul Haram
Mi'iraj ilikuwa safari ya mtume s.a.w:
Kutoka Masjidul Aqsa mpaka ulimwengu wa juu
Kutoka Masjidul Haram mpaka ulimwengu wa juu
Kutoka Masjid Haram mpaka Masjidul Aqsa
Kutoka Masjidul Aqsa mpaka Masjidul Haram
Sababu gani Waarabu wa Madina walimuamini Mtume s.a.w kwa haraka?
Walisikiya khabari zake kutoka kwa Mayahudi na wakataka kuwatanguliya kumuamini
Walikuwa ni Ahlul Kitab
Walikuwa ni jamaa zake Mtume s.a.w
Walilazimishwa
Ni Swahaba yupi alotumwa na Mtume s.a.w kuwafundisha watu wa Madina?
Mus'ab ibn Umair (ra)
Abdurahman ibn Auf (ra)
Abdallah ibn Mas'ud (ra)
Zaid ibn Harith (ra)
{"name":"Twaalibaatul Ilmu - Seera 13", "url":"https://www.quiz-maker.com/QPREVIEW","txt":"Ni mwaka gani Mtume s.a.w alipelekwa safari ya Isra'a wal Mi'iraj?, Safari ya Isra'a ilikuwa:, Mi'iraj ilikuwa safari ya mtume s.a.w:","img":"https://www.quiz-maker.com/3012/images/ogquiz.png"}
Make your own Survey
- it's free to start.