NAMNA MIKOPO YA WAMACHINGA IMEWEZA KUWAPATIA AJIRA

An informative illustration depicting microfinance and street vendors in Tanzania, showcasing a positive business environment with people interacting and selling products.

Mikopo na Ajira kwa Wamachinga

Tahadhari ya mikopo ni muhimu sana katika kuongeza ajira na kusaidia wamachinga kufanikiwa katika biashara zao. Kupitia quiz hii, utapata fursa ya kuelewa zaidi kuhusu jinsi mikopo inayotolewa na microfinance inaweza kuleta mabadiliko chanya katika maisha ya watu.

Jibu maswali khususi kuhusu:

  • Mikopo na matumizi yake
  • Elimu na mafanikio ya biashara
  • Ajira na ongezeko la wafanyakazi
19 Questions5 MinutesCreated by EarningProfit785
Name:
1. Una miaka mingapi?
A) Chini ya 20
B )20-30
C)31-40
D)41-60
E) Zaidi ya 60
2. Una jinsia gani?
A)Kiume
B)Kike
3. Unaishi wapi?
A) Ubungo
B)Ilala
C) Kigamboni
D)Temeke
E)Kinondoni
F) Kwingineko
4. Una kiwango gani cha elimu?
A) Elimu ya msingi
B)Kidato cha nne
C) Kidato cha sita
D)Chuo
5) Ulichukua mkopo lini?
a )2019
b)2020
C)2021
6. Ulichukua mkopo kiasi gani?
A)Chini ya 100,000
b) 100001-500,000
C)500,001-1000,000
D) zaidi ya 1,000,000
7. Je ilikuwa ni rahisi kwako kupata mkopo kwenye microfinance?
a)Ndio
b) Hapana
8. Kupitia mkopo uliopewa, umeweza kuanzisha biashara yako?umeanzisha biashara gani?
A) Chakula
B) Vinywaji
C)Bidhaa za urembo
D) Bidhaa za mavazi/nguo/viatu
E) Bidhaa za technologia mf simu/redio/tv
F) Bidhaa za ufugaji
G) Bidhaa za jikoni
H)Bidhaa za nyumbani
I) Hapana sikuweza kuanzisha biashara yangu
9. Kupitia mkopo uliopewa, je umeweza kuacha ajira za kulipwa ujira mdogo na kuanzisha biashara yako ya umachinga?
Ndio
Hapana
10. Ulijuaje kama Microfinance inatoa mikopo?
A) Nilisikia kwa watu
B) Nilisikia kwenye vyombo vya habari
11. Kupitia mkopo uliopewa, je umeweza kupanua biashara yako kwa kufungua matawi mapya?matawi mapya?
a) Ndio
B) Hapana
12. Kupitia mkopo uliopewa, je umeweza kuongeza bidhaa zako
a)Ndio
B)Hapana
13. Kupitia mkopo uliopewa umeweza kupata kipato cha kuweza kuongeza wafanyakazi wapya katika biashara yako ya umachinga?
a) Ndio
b)Hapana
14. Wafanyakazi wangapi umewaongeza?
A) Sijaongeza wafanyakazi
B)1- 10
C)11-20
D)21-100
E)zaidi ya 100
15. Je unategemea mkopo huu kama chanzo chako cha mtaji wa kukupatia ajira?
A) Ndio
B) Hapana
16. Kupitia mkopo uliopewa umeweza kupanua biashara bado ukapata faida ?
A) Ndio
B) Hapana
17. Kupitia mkopo uliopewa umeweza kuanzisha biashara bado ukapata faida ?
A) Ndio
B) Hapana
18. Je una uwezo wa kuurudisha mkopo huu kwa wakati bila kuathiri biashara yako?
a) Ndio
b) Hapana
{"name":"NAMNA MIKOPO YA WAMACHINGA IMEWEZA KUWAPATIA AJIRA", "url":"https://www.supersurvey.com/QPREVIEW","txt":"Tahadhari ya mikopo ni muhimu sana katika kuongeza ajira na kusaidia wamachinga kufanikiwa katika biashara zao. Kupitia quiz hii, utapata fursa ya kuelewa zaidi kuhusu jinsi mikopo inayotolewa na microfinance inaweza kuleta mabadiliko chanya katika maisha ya watu.Jibu maswali khususi kuhusu:Mikopo na matumizi yakeElimu na mafanikio ya biasharaAjira na ongezeko la wafanyakazi","img":"https:/images/course8.png"}
Make your own Survey
- it's free to start.