Sweet MCC - Kiswahili Kitukuzwe

A vibrant illustration featuring traditional Kiswahili proverbs, colorful cultural elements, and an inviting quiz atmosphere.

Kiswahili Kitukuzwe

Test your knowledge of Kiswahili proverbs and expressions with our engaging quiz designed for enthusiasts of the Swahili language!

Challenge yourself and your friends with:

  • 10 thought-provoking questions
  • A blend of common and lesser-known proverbs
  • A chance to enhance your Kiswahili skills
10 Questions2 MinutesCreated by SpeakingWord401
Kamilisha methali: Adhabu ya kaburi
Ni adhabu ya maiti
Aijua maiti
Hasara
Aijuaye ni miti
Kamilisha methali: Kimya kingi
Kina mshindo mkubwa
Kuona mengi
Kufyekeza
Kufaana
Kamilisha methali: _____________________________ utalala wewe
Usipomkubali alale
Ukidhani uko sawa
Usisumbua mbwa aliyelala
Usimwamshe aliyelala
Kamilisha methani: Subira
Yavuta heri
Yavuta heri, huleta kilicho mbali
Subira, utapata mwana si wako
Hulipa
Nani kwa maoni yako amejikakamua kuzungumza kiswahili sanifu leo?
Anthony
Njau
Sean
Muthoni
Serah
Eunice
Daisy
Ryan
Kamilisha methali: Fumbo mfumbe mjinga
Mwerevu huligangua
Mwerevu hushafumbua
Mwerevu afumbe
Mwerevu hulifumba
Kamilisha methali: Kawia
Ukufe
Kawia utafika.
Ufike
Utafa
Kamilisha methali: Lila na fila
hazitangamani
Hazitengani
Hazishikani
Hufila
Kamilisha methali:Macho hayana
Njia
Mkondo
Pazia
Fazia
Kamilisha methali: Bendera
Hufuata uvundo
Hufuata upepo
Hupepea
Huonyesha uzalendo
{"name":"Sweet MCC - Kiswahili Kitukuzwe", "url":"https://www.supersurvey.com/QPREVIEW","txt":"Test your knowledge of Kiswahili proverbs and expressions with our engaging quiz designed for enthusiasts of the Swahili language!Challenge yourself and your friends with:10 thought-provoking questionsA blend of common and lesser-known proverbsA chance to enhance your Kiswahili skills","img":"https:/images/course1.png"}
Make your own Survey
- it's free to start.