MAZINGIRA YA KAZI KWA WANA HABARI TANZANIA.

Je wewe ni mwana taaluma ya Habari?
Ndio
Hapana
Umejikita kwenye eneo gani kiutendaji?
Mtangazaji
Mwandishi
Mzalishaji (producer)
Mhariri
Dj
Una uzoefu wa muda gani kwenye taaluma hii?
Chini ya miezi 6
Zaidi ya miaka 2
Zaidi ya miaka 5
Je umeajiriwa?
Ndio
Hapana
Je una mkataba wa kazi?
Ndio
Hapana
Umewahi kuwa na mgogoro na mwajiri wako?
Ndio
Hapana
Ulitumia mbinu gani kupata suluhisho la mgogoro wako?
Kutumia mwanasheria
Wakala wako alikusaidia kumaliza
Chama cha waandishi kilisaidia
Mliyamaliza wenyewe
Ajira yako uliipataje?
Ulituma maombi ya kazi
Ulifwatwa na mwajiri
Ulianza kwa kujitolea
Ulitumia wakala wa ajira
Uliunganishiwa na mtu
Je una uhakika wa kupata stahiki zako za kimkataba hapo ulipo?
Ndio
Sina uhakika
Je una uelewa wowote kuhusu wakala wa mfanyakazi?
Ndio
Hapana
Je una fahamu umuhimu wa kuwa na wakala wako ili kuepuka migongano ya kimkataba na mwajiri?
Ndio
Hapana
Je unafahamu utofauti wa wakala,mwanasheria na chama cha waandishi wa habari?
Ndio
Hapana
Umewahi kusikia kuna wakala wa wafanyakazi wa vyombo vya habari?
Ndio
Hapana
Je Unatamani ungejua utaratibu kuwa na wakala?
Ndio
Hapana
Je unadhani uwepo wa mawakala wa wafanyakazi wa vyombo vya habari utaongeza thamani za wafanyakazi?
Ndio
Hapana
Unaadhani ni muhimu wafanyakazi wa vyombo vya habari kujua umuhimu wa kuwa na wakala?
Ndio
Hapana
Sina majibu
Umewahi kusikia kuhusu Tanzania Media personel and Advertising Agency (TAMPA)
Ndio
Hapana
Je ungependa TAMPA tuwasiliane nawe basi tuandikie jina lako,mahali ulipo,email na namba yako ya simu na maswali kama unayo nasi tutawasiliana nawe.
{"name":"MAZINGIRA YA KAZI KWA WANA HABARI TANZANIA.", "url":"https://www.supersurvey.com/QPREVIEW","txt":"Je wewe ni mwana taaluma ya Habari?, Umejikita kwenye eneo gani kiutendaji?, Una uzoefu wa muda gani kwenye taaluma hii?","img":"https://www.supersurvey.com/3012/images/ogquiz.png"}
Make your own Survey
- it's free to start.